ASANTENI KWAKUA MABALOZI WETU
Jana tulipata Fursa yakuwatembelea Mabalozi wetu waendesha bajaji maeneo mbali mbali nakuwashukuru pamoja nakuwatakia kheri ya Mwaka Mpya pia kuwa pongeza kuwa mabalozi wazuri wa mwaka 2023 Hongera sana Balozi wetu popote ulipo tunautambua na kuuthamini mchango wako kwetu #SullivanProvostforqualityEducation