WIMBO WA KUSIFU NA KUABUDU.

Tarehe 13 October ilikuwa ni siku ya Mahafali ya 9 ya kidato cha Nne tangu kuanzishwa kwa Shule yetu.Viongozi,Wazazi na Wanafunzi wakiimba Wimbo ya Kusifu na Kuabudu. Kwa Elimu Bora na Malezi yenye Uhakika Mlete Mwanao Sullivan Sullivan Provost Secondary School. Contact Us: +255 754 210 812 / www.sullivanprovostschools.ac.tz

IBADA MAALUM YA KUWEKA WAKFU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI NA KIDATO CHA NNE.

“Tarehe 22 October ilifanyika ibada maalum shuleni kwetu kwaajili ya kuwaweka WAKFU wanafunzi wetu wa kidato cha pili na kidato cha Nne wakielekea kwenye Mtihani wao wa Taifa” “Zoezi hili huwa ni tamaduni ya Shule yetu hufanyika kila Mwaka na kwakua tunachukua Wanafunzi wa imani zote hivyo huwa tunajumuika na viongozi wa madhehebu yote” https://www.instagram.com/reel/CyxT9Iuq1Ct/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== […]