BONYEZA LINK KUONA MATOKEO YA SHULE YETU.
FORM FOUR REGIONAL MOCK EXAMINATIONS (AUGUST 2023). NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2021 EXAMINATION RESULTS S4739 SULLIVAN PROVOST BOYS SECONDARY SCHOOL. https://onlinesys.necta.go.tz/results/2021/csee/results/s4739.htm NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2020 EXAMINATION RESULTS S4739 SULLIVAN PROVOST BOYS SECONDARY SCHOOL. https://onlinesys.necta.go.tz/results/2020/csee/results/s4739.htm NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2019 EXAMINATION RESULTS S4739 SULLIVAN […]
IBADA MAALUM YA KUWEKA WAKFU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI NA KIDATO CHA NNE.
“Tarehe 22 October ilifanyika ibada maalum shuleni kwetu kwaajili ya kuwaweka WAKFU wanafunzi wetu wa kidato cha pili na kidato cha Nne wakielekea kwenye Mtihani wao wa Taifa” “Zoezi hili huwa ni tamaduni ya Shule yetu hufanyika kila Mwaka na kwakua tunachukua Wanafunzi wa imani zote hivyo huwa tunajumuika na viongozi wa madhehebu yote” https://www.instagram.com/reel/CyxT9Iuq1Ct/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== […]
MAHAFALI YA 9TH SHULE YA WAVULANA SULLIVAN PROVOST SEC SCHOOL
/WATAHINIWA KIDATO CHA NNE/ Pichani ni wanafunzi wa kidato cha Nne wanaotarajia kufanya mtihani wao wa Taifa hivi karibuni.
MAHAFALI YA 9TH SHULE YA WAVULANA SULLIVAN PROVOST SEC SCHOOL
Matukio ya Picha Mbalimbali Mgeni Rasimi pamoja na Mkurugenzi wa Shule ya Wavulana Sullivan wakipitishwa kwenye Baadhi ya maeneo ya Bustani ya Shule ambayo hutumika kufundishiwa wanafunzi Elimu ya KILIMO Biashara. http://www.sullivanprovostschools.ac.tz
MAHAFALI YA 9TH YA SHULE YA WAVULANA SULLIVAN PROVOST SEC SCHOOL
Matukio ya Picha Mbalimbali kwenye Mahafali ya 9 Sullivan Provost Sec School. http://www.sullivanprovostschools.ac.tz
MAHAFALI YA 9TH YA KIDATO CHA NNE SULLIVAN PROVOST BOYS SEC SCHOOL
Tunayo furaha kusherehekea Mahafali yetu ya 9 tangu kuanzishwa kwa Shule yetu ya Wavulana Sullivan Provost Sec School,na hii ni Cake maalumu kwaajili ya watahiniwa wa kidato cha Pili na cha Nne. http://www.sullivanprovostschools.ac.tz

