IBADA MAALUM YA KUWEKA WAKFU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI NA KIDATO CHA NNE.

“Tarehe 22 October ilifanyika ibada maalum shuleni kwetu kwaajili ya kuwaweka WAKFU wanafunzi wetu wa kidato cha pili na kidato cha Nne wakielekea kwenye Mtihani wao wa Taifa”

“Zoezi hili huwa ni tamaduni ya Shule yetu hufanyika kila Mwaka na kwakua tunachukua Wanafunzi wa imani zote hivyo huwa tunajumuika na viongozi wa madhehebu yote”

https://www.instagram.com/reel/CyxT9Iuq1Ct/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

 

Leave a comment