Video hii inaonesha Mabweni Mapya ya Wanafunzi wa shule yetu, Mabweni haya yamepewa majina MANDERA na NYERERE. Mabweni yenye Ubora wa Hali ya juu na ya Kisasa,Ukimleta Mwanao Sullivan Provost Boys Secondary School atajisikia kama yupo nyumbani.
SIFA ZA MABWENI YETU
< Mazingira ya Nje yamepambwa kwa Maua Mazuri na yakuvutia.
< Usalama wa Uhakika Muda wote kwani kila Bweni linakuwa na CCTV Camera ambayo itasaidia kuona Matukio yote wakati wa Mchana na Usiku.
< Vyoo vya ndani (indoor Toilet) na ni vyoo vya kisasa vyenye Mabomba ya maji pamoja na mabomba ya mvua kwaajili ya kuogea.
<Vitanda vya kisasa na Magodoro yenye Standard ya Hali ya juu.
< Huduma ya Maji ni 24/7 kwani inje ya Maji ya bomba tuna Visima na Matank ya kutosha.
Kwa Elimu Bora na Malezi yenye Uhakika Mlete Mwanao Sullivan Provost Secondary School. Contact Us: +255 754 210 812 / www.sullivanprovostschools.ac.tz