WIMBO WA KUSIFU NA KUABUDU.

Tarehe 13 October ilikuwa ni siku ya Mahafali ya 9 ya kidato cha Nne tangu kuanzishwa kwa Shule yetu.Viongozi,Wazazi na Wanafunzi wakiimba Wimbo ya Kusifu na Kuabudu.

Kwa Elimu Bora na Malezi yenye Uhakika Mlete Mwanao Sullivan Sullivan Provost Secondary School. Contact Us: +255 754 210 812 / www.sullivanprovostschools.ac.tz

Leave a comment