WIMBO WA KUSIFU NA KUABUDU.

Tarehe 13 October ilikuwa ni siku ya Mahafali ya 9 ya kidato cha Nne tangu kuanzishwa kwa Shule yetu.Viongozi,Wazazi na Wanafunzi wakiimba Wimbo ya Kusifu na Kuabudu. Kwa Elimu Bora na Malezi yenye Uhakika Mlete Mwanao Sullivan Sullivan Provost Secondary School. Contact Us: +255 754 210 812 / www.sullivanprovostschools.ac.tz

TAZAMA MUONEKANO WA MABWENI YETU MAPYA, MANDELA NA NYERERE.

Video hii inaonesha Mabweni Mapya ya Wanafunzi wa shule yetu, Mabweni haya yamepewa majina MANDERA na NYERERE. Mabweni yenye Ubora wa Hali ya juu na ya Kisasa,Ukimleta Mwanao Sullivan Provost Boys Secondary School atajisikia kama yupo nyumbani. SIFA ZA MABWENI YETU < Mazingira ya Nje yamepambwa kwa Maua Mazuri na yakuvutia. < Usalama wa Uhakika […]