MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2023
BONYEZA LINK KUTAZAMA MATOKEO YETU YAKIDATO CHA PILI MWAKA 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/ftna/FTNA2023/S4739.htm https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/ftna/FTNA2023/S4739.htm
BONYEZA LINK KUTAZAMA MATOKEO YETU YAKIDATO CHA PILI MWAKA 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/ftna/FTNA2023/S4739.htm https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/ftna/FTNA2023/S4739.htm
Jana tulipata Fursa yakuwatembelea Mabalozi wetu waendesha bajaji maeneo mbali mbali nakuwashukuru pamoja nakuwatakia kheri ya Mwaka Mpya pia kuwa pongeza kuwa mabalozi wazuri wa mwaka 2023 Hongera sana Balozi wetu popote ulipo tunautambua na kuuthamini mchango wako kwetu #SullivanProvostforqualityEducation
Bonyeza link Kuona matukio Mbalimbali ya Ligi ya Shule yetu. https://photos.app.goo.gl/tvzjv4fa1Fx6ndvj9 Kwa Elimu Bora na Malezi yenye Uhakika Mlete Mwanao Sullivan Sullivan Provost Secondary School. Contact Us: +255 754 210 812/ www.sullivanprovostschools.ac.tz
/MUUNDO WA ADA ZETU/ https://www.sullivanprovostschools.ac.tz/wp-content/uploads/2023/10/DOC-20230831-WA0184.-1.pdf Kwa Elimu Bora na Malezi yenye Uhakika Mlete Mwanao Sullivan Sullivan Provost Secondary School. Contact Us: +255 754 210 812 www.sullivanprovostschools.ac.tz
Tarehe 13 October ilikuwa ni siku ya Mahafali ya 9 ya kidato cha Nne tangu kuanzishwa kwa Shule yetu.Viongozi,Wazazi na Wanafunzi wakiimba Wimbo ya Kusifu na Kuabudu. Kwa Elimu Bora na Malezi yenye Uhakika Mlete Mwanao Sullivan Sullivan Provost Secondary School. Contact Us: +255 754 210 812 / www.sullivanprovostschools.ac.tz
Video hii inaonesha Mabweni Mapya ya Wanafunzi wa shule yetu, Mabweni haya yamepewa majina MANDERA na NYERERE. Mabweni yenye Ubora wa Hali ya juu na ya Kisasa,Ukimleta Mwanao Sullivan Provost Boys Secondary School atajisikia kama yupo nyumbani. SIFA ZA MABWENI YETU < Mazingira ya Nje yamepambwa kwa Maua Mazuri na yakuvutia. < Usalama wa Uhakika […]
FORM FOUR REGIONAL MOCK EXAMINATIONS (AUGUST 2023). NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2021 EXAMINATION RESULTS S4739 SULLIVAN PROVOST BOYS SECONDARY SCHOOL. https://onlinesys.necta.go.tz/results/2021/csee/results/s4739.htm NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2020 EXAMINATION RESULTS S4739 SULLIVAN PROVOST BOYS SECONDARY SCHOOL. https://onlinesys.necta.go.tz/results/2020/csee/results/s4739.htm NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2019 EXAMINATION RESULTS S4739 SULLIVAN […]
“Tarehe 22 October ilifanyika ibada maalum shuleni kwetu kwaajili ya kuwaweka WAKFU wanafunzi wetu wa kidato cha pili na kidato cha Nne wakielekea kwenye Mtihani wao wa Taifa” “Zoezi hili huwa ni tamaduni ya Shule yetu hufanyika kila Mwaka na kwakua tunachukua Wanafunzi wa imani zote hivyo huwa tunajumuika na viongozi wa madhehebu yote” https://www.instagram.com/reel/CyxT9Iuq1Ct/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== […]
/WATAHINIWA KIDATO CHA NNE/ Pichani ni wanafunzi wa kidato cha Nne wanaotarajia kufanya mtihani wao wa Taifa hivi karibuni.
Matukio ya Picha Mbalimbali Mgeni Rasimi pamoja na Mkurugenzi wa Shule ya Wavulana Sullivan wakipitishwa kwenye Baadhi ya maeneo ya Bustani ya Shule ambayo hutumika kufundishiwa wanafunzi Elimu ya KILIMO Biashara. http://www.sullivanprovostschools.ac.tz